Heavy Weight
JF-Expert Member
- Mar 1, 2014
- 888
- 886
Endelea kuomba kitumbua kisiingie mchangaBarca anaongoza Lyon anaongoza na colocolo anaongoza maombi yanaendelea vizuri
Endelea kuomba kitumbua kisiingie mchangaBarca anaongoza Lyon anaongoza na colocolo anaongoza maombi yanaendelea vizuri
Kwaiyo mkuu hapo profit ni 6M?Sitaweka zote, nitaweka 2 tu
Yeah ni 6.4mil faida
Kodi 1.4 nimempa Magufuli
Tayari ...nnshapata usupu wa sato.... Na bia kadhaaa..... Onyo: bet kile kiasi unaamini hata ukipoteza hakiaribu mipango yakoKabaki Lyon.... Nipate kasupu.....
Ac Milan!!!!!Kesho najilipua hivi;
Ajax
Juventus
Rosenburg
Stromsgodset
Psv
Red bull
Az Alkmaar
Ac Millan
ALL WIN.
hiyo ikoje mkuu? msaada kidogoHAPA nipo kwenye blackjack meridian bet trying to recover loss ya leo as of now nna laki na nusu faida laki..ikifika laki 2 nalala.
Casinohiyo ikoje mkuu? msaada kidogo
poa poaCasino
Baada ya mikeka ya mchana kuchanika naombeni mniombee bado Barcelona na Colo Colo
Leo kanipiga laki 3 kesho nachukua timu 3
Juve WIN
As alkamaar WIN
Club Bruge WIN
Stake 500000 mniombee....
Hapo n kwamba hujalipia mkeka au umelipia team zshaanza ulichelewaHabar za asubuh
Jana nilibet nikamuwekea Fc Basel, Lyon na Barcelona kuwa wanashinda. Kuamka asubuhi ili nisubir mkwanja..... Naona empty
Ndiyo nimeanza kubet (bado si mzoefu).
Natumia app ya m bet nikiingia kwenye app yao na kuangalia TICKET HISTORY nakuta imeandikwa EXPIRED.
As shown kwenye picha. Naomben mnisaidie tatizo litakuwa wapi.
Asanteni!