Geniustin
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 4,380
- 2,855
Habar za asubuh
Jana nilibet nikamuwekea Fc Basel, Lyon na Barcelona kuwa wanashinda. Kuamka asubuhi ili nisubir mkwanja..... Naona empty
Ndiyo nimeanza kubet (bado si mzoefu).
Natumia app ya m bet nikiingia kwenye app yao na kuangalia TICKET HISTORY nakuta imeandikwa EXPIRED.
As shown kwenye picha. Naomben mnisaidie tatizo litakuwa wapi.
Asanteni!
Hahahaha! Hiyo Stake ya 5000 uliwatumia M-pesa au Tigo pesa? Inaonekana hukulipia.