Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Balaa lipo kwa liver, laiti km ningesubili nione kikosi basi nisingempa, tuliompa tunahitaj kudra za sir god lasivyo kitumbua kinaingia mchanga mapemaaaa
Mkuu liverpool ana mechi ngumu kwenye uropa ligi kwa hiyo anacheza kwa tahadhari sana ili asiingize wachezaji wake matatizoni
 
35': Swansea 2-0 Liverpool 🙁

Ngoja tuone comeback kings kama wanaweza kupindua haya matokeo ... teh teh teh, ka-buku 2 kangu kaleeee mhindi ameshakachukua hapa.
 
35': Swansea 2-0 Liverpool 🙁

Ngoja tuone comeback kings kama wanaweza kupindua haya matokeo ... teh teh teh, ka-buku 2 kangu kaleeee mhindi ameshakachukua hapa.
nltupia jero kwa kubip [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
1153879639790 Standard account
------------------------------------------
[3/3]
0101 01-05 15:30:00 Ajax-Twente
Final Score 1 1.19
0896 01-05 15:30:00 P S V-Cambuur
Final Score 1 1.06
0401 01-05 16:00:00 Sassuolo-Verona
Half T. OR Full T. I1*1 1.29
------------------------------------------
Total: 500000.00
------------------------------------------
Total odd: 1.63
Max payout: 813603.00
Combination count: 1
------------------------------------------
01-05 13:01:55

mwendo wenu na root siuwezi.

ngoja niendelee kujikongoja na ka staleti kangu mambo ya renjirova na ma vx hapana
 
mwendo wenu na root siuwezi.

ngoja niendelee kujikongoja na ka staleti kangu mambo ya renjirova na ma vx hapana

Hahaha ... hawa jamaa ni noma, wanajilipua si kitoto.
 
CC27BJ687 Imethibitishwa, umelipwa Tsh50000 kutoka kwa 174449 - MERIDIAN BET-B2C tarehe 174449 - MERIDIAN BET-B2C saa 12:43 AM. Salio la M-PESA ni Tsh152000

Unaona bana ...siku hizi meridian wapo vizuri.... Nimetoa Jana usiku saa3 ...Leo mchana kitu kimesoma
 
Back
Top Bottom