Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

fe8d63b424a2af5a8349d27ba6e1c930.jpg


Huyu mwenzetu amevuta milioni yake saafi na huu mkeka.
 
A C milano are sooo fukd up%@%#?%"?";_@€¥^+¿&<{§¡}¤
 
Watu mnaroho ngumu mnambiwa AC Milan sio klabu kubwa mnakomaaa week 2 vichapo mfululizo
NDO MAANA MM NILIMTOA🙂🙂🙂🙂😀😀
 
Watu mnaroho ngumu mnambiwa AC Milan sio klabu kubwa mnakomaaa week 2 vichapo mfululizo
NDO MAANA MM NILIMTOA🙂🙂🙂🙂😀😀

Mkuu wee acha tuu,yaani amekuwa kama jamvi la wageni si mtoto,si nyumbani wala ugenini.
 
La mamaaaako ac Milan[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] nakuombea ushuke darajaaa
 
CC27BJ687 Imethibitishwa, umelipwa Tsh50000 kutoka kwa 174449 - MERIDIAN BET-B2C tarehe 174449 - MERIDIAN BET-B2C saa 12:43 AM. Salio la M-PESA ni Tsh152000


Unaona bana ...siku hizi meridian wapo vizuri.... Nimetoa Jana usiku saa3 ...Leo mchana kitu kimesoma

Aisee watakuwa wamefanya poa sana, ngoja nijaribu na mimi leo baada ya kula game ya Miami Heat vs Charlotte Hornets, nacheza First Half Total Points under 95.5.
 
8d2b278ae59d29f214c0fa53d753176e.jpg


Niliandika humu na narudia, haya mambo iko namna. Baada ya kusoma comments za wadau imenilazimu kuitafuta mechi yenyewe. Kama ni hivi tuongeze umakini. Huyu "mtu" naamini amewatesa hata waliomfuata "live bet"
 
Mechi ya man utd kutokuwa na goli kipindi ya pili ....imefuta Mikeka..... Ila Umebaki wa 2-6...nao unapumulia mashine maana timu 2 zimeenda 0-0 halftym.....
 
Southampton na Man city kila mmoja apate goli. Odd ni 1. 76
Stake 98000
 
CC27BJ687 Imethibitishwa, umelipwa Tsh50000 kutoka kwa 174449 - MERIDIAN BET-B2C tarehe 174449 - MERIDIAN BET-B2C saa 12:43 AM. Salio la M-PESA ni Tsh152000


Unaona bana ...siku hizi meridian wapo vizuri.... Nimetoa Jana usiku saa3 ...Leo mchana kitu kimesoma
tunataka wafikie levo za mkeka beti ndani ya dk tano.

japo tuwapongeze kwa kutupa option za kumwaga ambazo kila siku zinatuangusha
 
Mechi ya man utd kutokuwa na goli kipindi ya pili ....imefuta Mikeka..... Ila Umebaki wa 2-6...nao unapumulia mashine maana timu 2 zimeenda 0-0 halftym.....

Mkuu nilikufuata ila man utd niliwatoa nikawaweka Lazio bado unapumua.
 
Mi Nje ya Mtaji Muhindi kuulegeza kwa Sana, nkaamua kuchukua Likizo ya Lazima ILA sasa nashangaa Ramli zangu zitafanya vizuri Sana sibett kabisa Hasa upande WA 1.5 kwa mkeka bet . Ntarudi .
 
Back
Top Bottom