Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Book makers wanajua chenga za mwili vibaya sana ...nawaonea huruma wanao angalia fixture ubaoni huku amesimama anachora mkeka..very funny...huu mchezo unahitaji utulize akili,hauhitaj mapper,papara,tamaa...zaidi ya yote hauhitaji hasira #avoidchasingmoney# [emoji6][emoji48][emoji48]
 
Reactions: pri
Wakuu nimeweka dau tayari la 2M next week ili odds zisipungue kwenye UCL. Munich anashinda na Madrid anashinda, hizo pesa ni mavuno kutoka betting industry. Nikiliwa sina hasara maana bado mtaji upo na nipo hapa kwa ushauri sasa
 
Nimeona notification ya mbet ticket inauzwa 5000 hii inakuwaje nimeclick notification imepotea ..hii imekaaje.
 
Baada ya mikeka ya mchana kuchanika naombeni mniombee bado Barcelona na Colo Colo
 

Attachments

  • 1462044232707.jpg
    18 KB · Views: 42
Barca anaongoza Lyon anaongoza na colocolo anaongoza maombi yanaendelea vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…