SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,803
- 25,451
Watu mnaroho ngumu mnambiwa AC Milan sio klabu kubwa mnakomaaa week 2 vichapo mfululizo
NDO MAANA MM NILIMTOA🙂🙂🙂🙂😀😀
Yaaani... Mkuuu acha tu..... Hapo stake niliyoweka ni affordable..... Ac Milan namtoa milele kama GalatasarayMkuu wee acha tuu,yaani amekuwa kama jamvi la wageni si mtoto,si nyumbani wala ugenini.
CC27BJ687 Imethibitishwa, umelipwa Tsh50000 kutoka kwa 174449 - MERIDIAN BET-B2C tarehe 174449 - MERIDIAN BET-B2C saa 12:43 AM. Salio la M-PESA ni Tsh152000
Unaona bana ...siku hizi meridian wapo vizuri.... Nimetoa Jana usiku saa3 ...Leo mchana kitu kimesoma
Southampton na Man city kila mmoja apate goli. Odd ni 1. 76
Stake 98000
tunataka wafikie levo za mkeka beti ndani ya dk tano.CC27BJ687 Imethibitishwa, umelipwa Tsh50000 kutoka kwa 174449 - MERIDIAN BET-B2C tarehe 174449 - MERIDIAN BET-B2C saa 12:43 AM. Salio la M-PESA ni Tsh152000
Unaona bana ...siku hizi meridian wapo vizuri.... Nimetoa Jana usiku saa3 ...Leo mchana kitu kimesoma
Mechi ya man utd kutokuwa na goli kipindi ya pili ....imefuta Mikeka..... Ila Umebaki wa 2-6...nao unapumulia mashine maana timu 2 zimeenda 0-0 halftym.....