hongera sana mkuu yani ukishinda au yeyote akishinda hapa jukwaani napenda saaana na nafarijika saana Congratulation[emoji1]Ni hatariiiii..... Shilingi imesimamaaaa mpaka sasa
Wafaransa ni ma******...... Nawatoa kwenye list ....Mkeka ushakula huo,,,Hongera sana
Wamebaki hao ...wapate goli kipindi cha pili...
Bet wonWerder Bremen, Malaga, Norrkiping, Djurgarden, all win
Saluti kwako mkuu Teja junior.Prediction zimeenda shule[emoji41]MKEKA NAMBA MOJA
BRIGHTON v DERBY (DRAW)
BURNLEY v QPR (BURNLEY WIN)
MKEKA NAMBA MBILI
WALSALL v FLEETWOOD TOWN (WALSALL WIN)
VALENCIENNES v NANCY (NANCY WIN)
MALAGA v LEVANTE (MALAGA WIN)
MKEKA NAMBA TATU
DUNDEE v 6DUNDEE UTD (DUNDEE WIN)
CHELSEA v TOTTENHAM (DRAW)/ (GG)
NAPOLI v 1 ATALANTA (NAPOLI WIN )
MKEKA NAMBA MOJA
BRIGHTON v DERBY (DRAW)
BURNLEY v QPR (BURNLEY WIN)
MKEKA NAMBA MBILI
WALSALL v FLEETWOOD TOWN (WALSALL WIN)
VALENCIENNES v NANCY (NANCY WIN)
MALAGA v LEVANTE (MALAGA WIN)
MKEKA NAMBA TATU
DUNDEE v 6DUNDEE UTD (DUNDEE WIN)
CHELSEA v TOTTENHAM (DRAW)/ (GG)
NAPOLI v 1 ATALANTA (NAPOLI WIN )
Leo nimesafiria nyota yako mkuu.Sijifu hapa nimetisha wakuu tena hizo mechi zote ni ngumu ila 90%zimetoa hapo kwenye Draw nimetisha zaidi Mkeka namba mbili tu umezingua
Hongera mkuu kua na roho ya pakaSijifu hapa nimetisha wakuu tena hizo mechi zote ni ngumu ila 90%zimetoa hapo kwenye Draw nimetisha zaidi Mkeka namba mbili tu umezingua
Wafaransa ni ma******...... Nawatoa kwenye list ....
sasa si ndio vizuri ana odds kubwa ili upate pesa nyingiSiwaelewi
Limerick win 1.38
Galway win 5.5...!!!??
Kuna shida hapa ...hii ni mechi ya Cup.... Limerick anaongoza daraja LA kwanza anaongoza ligi ...Galway yupo ligi kuuza na ni wa4 nyuma ya Dundalk Cork na Derry hivyo ni mkali ....swali kwa nini apewe odds kubwa hivi!!?? Yaani hata ukimpa x2 ana odds 2.27 kuna namna..... Ukiangalia mechi 3 zilizopita galway kashinda 2 Limerick 1....