Hawa wajapan sithubutu kuwafuatilia tenaa
Urawa nae nasubiri kamoja ...wote walewale tuHao waJapani huwa siwaelewi kbs aseee ... hata ukicheza magoli ni kizungumkuti ... siku nyingine wanafungana sana cku nyingne kutoa 0-0 ni kufikia tu. [emoji57][emoji57]
Nashukuru Melbourne Victory & Suwon wamefanya mkeka uendelee kupumua. Namsubiri huyu mchina nae na kagoli kake kamoja daaah [emoji134][emoji134]
Dah urawa katoa goli 2+ banaUrawa nae nasubiri kamoja ...wote walewale tu
hz timu za Japan n majipuKama urawa alivyo mchawi leo🙁
Huyu mserbia sijui crevna zvevda.... Ameshaharibu sherehe...
Huyu mserbia sijui crevna zvevda.... Ameshaharibu sherehe.kashazngua katoa droo
nhAmepigwa au...?
Kashinda mokoe
nh
yaan kashindwa kufikisha goli mbili duuHuyu mserbia sijui crevna zvevda.... Ameshaharibu sherehe...
nilimpa apate goli cha kwanzaKashinda moko
Tupia tena haifungukiNgoja nitoke na hao wawili....