Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Bayern Vs A.Madrid.....
Penalty....Yes...Odd. 4.
Stake 200,000
Return 800,000

This is possible win 100%


Salute kwako mkuu ... daah, kuna watu nafkiri mna mioyo ya plastic asee. Kwa hiyo stake, nsingeweza kuweka kabisa.
 
Wale wazee wa win mnaobet kila siku hembu ipitieni hii naona kuna hela hapa.
 

Attachments

  • 1462306027483.jpg
    18.1 KB · Views: 52
Bayern munchen match, he who bet side WIN imekula kwenu Draw na under 2.5 Total Goals WIN today...
 
Keshoooooooooo

Mkeka no 1

R.Madrid WIN
Galatasary WIN
Helsinki WIN

Stake 100000
Final Score

1

1.38

Stake:

100000.0

payin

100000.00 TZS

payinWithoutTax

100000.00 TZS

totalOdd

5.76

Combinations

1

04-05-2016 00:14:56

[emoji83] [emoji83] [emoji83] [emoji83] [emoji83]
 
2/2
0425 04-05 14:30 Silva D.R.-Hemery C.
Match Winner1 1.40
1116 04-05 08:00 Kawasaki-Sendai
Final Score1. 1.47
 
Usiku nimekosa pesa kizembe sana. Timi za amerika ni nzuri sana kubetia
 
Usiku nimekosa pesa kizembe sana. Timi za amerika ni nzuri sana kubetia
Hao naona ni jipu....kuna wiki wanafungana magoli yakutosha..baada ya hapo usishangae kuona mechi nyingi 0-0
Lakini angalau option ya first half results-Draw huwa wanatoa sana
 
Salut Kwa going concern. Ngoja nipige pepa. Nikitoka najilipua na kilo 1. Nitafutieni timu nne za uhakika ndugu zanguni.
 
Nacional pumas na buyern asanten mmenipa mtaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…