Msingi_Mbio
JF-Expert Member
- Jul 25, 2012
- 336
- 44
Angalizo timu hizi usibet kesho
Benfica
Monaco
Manchester
Vila real
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
wakuu kuna mdau aliongea point sana leo, unakuta mtu kaweka 1000 anataka kula 300,000 au 500 anataka 150,000 lakini kama utaweka 30,000 ukacheza ata mechi mbili au tatu za uwakika kula 80,000 ni kawaida sana, tusiwe na matamaa sana.... au nyie mnaonaje wakuu...... kumbuka we are fighting the same enemies, poverty+muhindi
andybird314 scopi_on_nge Rockcity native Nokia83 NkyaH madukwappa mtoo wa nNzi
wakuu kuna mdau aliongea point sana leo, unakuta mtu kaweka 1000 anataka kula 300,000 au 500 anataka 150,000 lakini kama utaweka 30,000 ukacheza ata mechi mbili au tatu za uwakika kula 80,000 ni kawaida sana, tusiwe na matamaa sana.... au nyie mnaonaje wakuu...... kumbuka we are fighting the same enemies, poverty+muhindi
Huwa sina shaka na Barca