karanga mbichi
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 269
- 223
unatumia kampun gan mkuu wenye hio option ya time of first card?Madrid vs Man city
Time of First Card 0-21
Odds. 2.30
Stake 300,000
Return 690,000
Case closed...nasubiri pesa yangu tu
Hivi kweli jamani...game ya Madrid ilivyo na presha kweli... toka dakika ya kwanza mpaka dakika ya 21 kukosekane kadi ya njano? jamani chukueni hii pesa...
Jaman jana nmekula meridian elf 20 na ndio mara ya kwanza kutumia meridian sasa nmewithdraw hela na inaonekana nmekatwa na option ya kuchukulia nliweka mpesa mpaka saiv kimya wenye ujuz na meridian msaada tafadhar
Buddy weka ata pesa ya Magufuli hii inatoka...Hiyo ni pesa 90% guaranteed ... tena hususani beki za Man City ni akina Mangala & Zabaleta, halafu katikati ya uwanja kuna Fernadinho ... halafu kule kuna Pepe/Marcelo .. hahahahaha
Mkuu uliwithdraw saa ngapi?
Note, kwa meridianbet huchukua zaidi ya saa 6 kuipata pesa yako kwa m-pesa. Nakumbuka mimi mara ya mwisho niliwithdraw saa 2 usiku ikaingia m-pesa kesho yake saa 11 jioni.
Vuta subira mkuu, hela yako haijapotea. Itakuwa kwenye approval processes
jina la m pesa na unalotumia meridian ni sawa?namaanisha jina ulilosajilia line yako.Thanks mkuu kwa kunitoa hofu nilidroo jana kama sa tano usiku ,, lakin hawa jamaa kumbe wako slow sana kulipa nawakumbia mkuu m bet haichukui hata masaa mawili
jina la m pesa na unalotumia meridian ni sawa?namaanisha jina ulilosajilia line yako.
poa poa mkuuUshaingia mpunga ila wanachelewa sana kha
natoka hiv cjui mchawi nan hapo
View attachment 344625
hiyo ni under 3.5 ,mechi ikitoka 0-0 umeshinda
Goli tatu kwenda juuMkuu, kule M-BET lile chaguo la OVER wanamaanisha nini?