Mbet hawana ipo meridianHivi m-bet kuna optiona ya kukatisha mchezo? kwa mfano umebet game 10, 8 zimetoka zimebaki mbili ambazo hazijaanza unaweza kuchukua mpunga wa zile mechi 8 nyingine ukapotezea?
Molde duuuuuh kweli huu mchezo hautaki hasira
Hiyo mechi ilikuwa Norway cupMolde kala teni langu dah hiz timu ndgo ndgo siji kuziamin tena wapo kama wamasai yani
corner 11 mkuuFundi hapo zinahitajika corner ngapi, au at moja tu unakuwa umewin
Molde kala teni langu dah hiz timu ndgo ndgo siji kuziamin tena wapo kama wamasai yani
Norway cup huwa wanatoa sana 3+ au 2+ lakini issue ipo kumjua mchawiJaribu magoli next time mkuu ... Norway Cup wametoa sana 3+ leo, japo sio wote lkn majority wametoa
best buddyYour highness Real Madrid nakusubiri wewe tu "to make or break" [emoji5][emoji5][emoji120]
1153882118863 Standard account
------------------------------------------
[1/1]
0040 04-05 21:45:00 Real Madrid-Man City
Corners[10.5] Over 1.60
------------------------------------------
Total: 500000.00
------------------------------------------
Total odd: 1.60
Max payout: 800000.00
Combination count: 1
------------------------------------------
04-05 18:42:24
Hongera mkuu naona teyari shavu dodo
Galatasary ana 60% ya ukifanya ninune mda si mrefu[emoji15]Keshoooooooooo
Mkeka no 1
R.Madrid WIN
Galatasary WIN
Helsinki WIN
Stake 100000
Hongera mkuu naona teyari shavu dodo
Pole mkuuNilisahau kuwa game ilikuwa ina aggregate score ya 3-1 poor me..learning from my own mistake! [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]