Mzawa asilia
JF-Expert Member
- Dec 17, 2013
- 416
- 204
Kona 11 sio mchezo bado km 7-6 hivi
Bado 5
Kona 11 sio mchezo bado km 7-6 hivi
Kona 11 sio mchezo bado km 7-6 hivi
Kona 11 sio mchezo bado km 7-6 hivi
Mbet hawana ipo meridian
Galatasary ana 60% ya ukifanya ninune mda si mrefu[emoji15]
Kuna sehem imeandikwa turbo payout kama game ulizowekea zmetiki kadhaa mfano uliweka game 5 zmeshacheza 4 moja bado haijaanz na unahofu nayo unabofyaMeridian unakatishaje mchezo Mkuu?
Galatasary mbwa jamani. Ni mbwa kabisa huyuu!
Kuna sehem imeandikwa turbo payout kama game ulizowekea zmetiki kadhaa mfano uliweka game 5 zmeshacheza 4 moja bado haijaanz na unahofu nayo unabofya
Kama izo 4 tayar zmetiki na unwaswasi n iliyobaki ila mchezo usiwe umeanzaUnabofya kabla haujatoa Mkeka au baada Mkuu?
kesho supu ntaisikilizia kwenye bomba..