Najaf
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 1,545
- 2,546
Nimewapa magoli mengi kipind cha pili,,,,nahisi wanachelewa kufungana,,,sijui ndo bado hawajachoka wanakabana mwanzo mwisho duuuhHawa RoPs na SJK mbona wanitia pressure..
Nimewapa magoli mengi kipind cha pili,,,,nahisi wanachelewa kufungana,,,sijui ndo bado hawajachoka wanakabana mwanzo mwisho duuuhHawa RoPs na SJK mbona wanitia pressure..
daah mkuu mwenyew nawasubiria ila kmuda bado kapoNimewapa magoli mengi kipind cha pili,,,,nahisi wanachelewa kufungana,,,sijui ndo bado hawajachoka wanakabana mwanzo mwisho duuuh
Hawa Rops wasiposhinda,,,wanisahau,,,daah mkuu mwenyew nawasubiria ila kmuda bado kapo
Halafu wanacheza na watu 8,,SJK wamesikia kilio changu,bado RoPs
aisee nawaona tu hapaWale mliompa Inter Turku subirini maumivu,hii timu siisahau kamwe na nilishiweka kwenye blacklist ndio maana leo nimemuua.
Rops HT 0-0
RoPs RoPs RoPs tafadhali sana
[emoji57] [emoji57] pole mkuuSJK wamesikia kilio changu,bado RoPs
Ma,ma.eee Rops