Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hahaha ... acha kbs Chief.
Hapa navuta pumzi nitoke vp, maana toka asbh m-bet & meridianbet wameshaninyoosha km 75,000/- hv ... [emoji36][emoji36]
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] mkuu pole sana haa haa Mimi nimebaki na buku kwenye A/c sasa nimempa Malmo na mgiriki ukiweka mwingine nchungulishe angalau ntunishe mtaji aloo[emoji19] [emoji19]
 
Hahaha, poa chief ila mi nasuka mkeka wa kesho tu, maana leo imekuwa sio rizki.
 
Hapo uko sawa man. Hofu ipo kidogo kwa Malmo FF (nahisi anaweza toa draw) ... hope it goes your way.
All the best

Huyu Malmo nilikuwa namashaka nae ... sasa na hii red card ndio inapunguza kbs uwezekano wa kushinda mechi.

Leo kila kitu kinagoma ...
 
Attachments

  • upload_2016-5-5_18-7-11.png
    upload_2016-5-5_18-7-11.png
    8.5 KB · Views: 43
[emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji44] [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji44] [emoji44] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36]
 
Back
Top Bottom