Betting n ngumu sana, tusikate tamaa wadau cha kuzingatia katika huu mchezo n kuwa na mtaji pili usiwe na tamaa ya pesa. Tatu timu zisizidi tatu pendelea kuweka timu mbili tu. 4. Timu kubwa ukikuangusha ata usipoibetia game ijayo haimanishi itaacha kuwa timu kubwa Mfano Barcelona kufungwa Usiache kumbetia hapa namaamisha uvumlivu unahitajika sana katika betting.
5. Tambua timu kubwa nazo pia huwa zinapoteza michezo ama kudraw hivyo hakuna game ya uhakika100%
6. Ni vizuri kutembelea nyota ya mwenzako lakini usimwamini mwenzako kupitiliza kwani naye ana bahatisha tuu
7. Huu ni mchezo wa bahati na sibu lakini pia uzoefu unahitajika, hapa heshima kwa wakongwe wa mpira na mawazo yao usiyazarau yafanyie kazi
8. Pindi unapopigwa sana kwa siku ama wiki mfululizo ni vizuri ukajipumzisha angalau suku 1-2 bila kufanya betting.
9. Kamwe usicheze pata potea hakuna hela ndogo ata siku moja n kweli mpira unadunda lakin ukiona game ni ngumu usilazmishe mkubwa kufungwa kisa umeweka buku ama jero. Jero hiyo ndio mtaji walianza nao wenzako usiizarau kamwe.
10. Ukitaka faida kwa muda mfupi weka stake kubwa timu zisizidi 2 max 3. Angalizo usiwekeze mtaji wote kwa game Moja. Kula mtaji ni maneno tuu, watu wanatangaza kuliwa mtaji jioni asubuhi kasharejea usiwafwate
11. Ukibet kwa hisia ama ushabiki siku zote utalizwaa tuu
12. Wanaofaidika na betting ni wachache wengi wanaliwa na kamwe hatuwezi kufaidika wote/ kula pesa za kanjibay wote ukweli ndio huoo
BETTING RESPOBSIBLY