Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kuna app nilidownload ila inalalamika kwamba check your connection settings.
Hata kama network iko vizuri.
 
Nataka nhame kampuni, hawa m-bet hawana option nyingi. Meridian wanazingua ktk registration.. [emoji190][emoji190][emoji190][emoji190]😕 😕

Jaribu Meridianbet (wana ligi/nchi nyingi ambazo unaweza kuchagua kubet na pia wana options au bet types nyingi sana) au Mkekabet (hawa wako fasta sana ukitaka kudeposit au kuwithdraw mpunga wako, ila baadhi ya ligi/nchi/michezo hawana).

Kwa maoni yangu pamoja na mapungufu madogo madogo waliyonayo lkn Meridianbet is the best.
 
Leo jaman naandaa mapambano matatu ya uzito wa juu ,, baada ya jana kutoka kwa KO leo ni siku ya kulipiza kisasi
 
Jaribu Meridianbet (wana ligi/nchi nyingi ambazo unaweza kuchagua kubet na pia wana options au bet types nyingi sana) au Mkekabet (hawa wako fasta sana ukitaka kudeposit au kuwithdraw mpunga wako, ila baadhi ya ligi/nchi/michezo hawana).

Kwa maoni yangu pamoja na mapungufu madogo madogo waliyonayo lkn Meridianbet is the best.
merid wapo frexh kabisa..Game za mapema vp???
 
Ukiifuata website yao, ile unaingia tu ndo wanakuuliza kama unataka kudownload app au la.
 
melbourne victory c ndo hawa huwa na magoli mengi
Mimi nawakubali sana meridianbet ... halafu wanamichezo mingine mingi pia, basketball, baseball, tennis, rugby etc ... yani ushindwe wewe tu unayebet.
 
melbourne victory c ndo hawa huwa na magoli mengi

Hao ni Melbourne Victory U21 mkuu ... lakini all in all timu za Australia huwa zinatoa sana magoli. Ndio maana hata hawa jamaa wa betting huwapa odds ndogo kwenye 2+ ama 3+ .. lakini ukichagua hua ushindi ni 95%

upload_2016-5-6_11-13-7.png

mi nimewapa I1-2, yani kipindi cha kwanza kuwe na goli moja ama mawili yasizidi mawili.
 
Vp mtoto wa nzi hawa meridian hawajaafanya mpango wa mtandao mwingine zaidi ya voda kweli mkuu au ndo wamewakumbatia voda
 
Vp buddy meridian wanatumia bado mtandao wa voda tuu mkuu?

Kwenye ku-withdraw right??
Kujiunga sio lazima usajiri kwa line ya Voda, unaweza tumia line yoyote during registration. Ila kuwithdraw ndio kuna option ya m-pesa na kwenye wakala wao.
 
still voda asee
Dah allan248 mim line ya kwanza nshapoteza siku renew nkatengenez nyingine imepotea na cm kitambulisho nimekiacha mbali na nlipo sonwananletea makunyanz ya oooh nenda kalete barua polisi shit nimewatema kabisa sasa sijui nkasajili nyingine agrrrrr
 
In the meantime, unaweza ukajisajiri meridianbet na ukawa unaenda kuvutia mpunga kwenye ofisi zao, sio kesi.
 
In the meantime, unaweza ukajisajiri meridianbet na ukawa unaenda kuvutia mpunga kwenye ofisi zao, sio kesi.
VIP mtaji ukiisha utawekaje sasa imagne lain ndo kama ivyo sina kwa sas
 
Back
Top Bottom