Inatinga lakin licha ya kuwa na connection settings prob///?inaitwaje???Kuna app nilidownload ila inalalamika kwamba check your connection settings.
Hata kama network iko vizuri.
Nataka nhame kampuni, hawa m-bet hawana option nyingi. Meridian wanazingua ktk registration.. [emoji190][emoji190][emoji190][emoji190]π π
merid wapo frexh kabisa..Game za mapema vp???Jaribu Meridianbet (wana ligi/nchi nyingi ambazo unaweza kuchagua kubet na pia wana options au bet types nyingi sana) au Mkekabet (hawa wako fasta sana ukitaka kudeposit au kuwithdraw mpunga wako, ila baadhi ya ligi/nchi/michezo hawana).
Kwa maoni yangu pamoja na mapungufu madogo madogo waliyonayo lkn Meridianbet is the best.
merid wapo frexh kabisa..Game za mapema vp???
Ukiifuata website yao, ile unaingia tu ndo wanakuuliza kama unataka kudownload app au la.
Mimi nawakubali sana meridianbet ... halafu wanamichezo mingine mingi pia, basketball, baseball, tennis, rugby etc ... yani ushindwe wewe tu unayebet.
melbourne victory c ndo hawa huwa na magoli mengi
Haswaa ndo inavyosumbuaKuna app nilidownload ila inalalamika kwamba check your connection settings.
Hata kama network iko vizuri.
View attachment 345130
nkufuata mkuu japo game moja tayari ishaanza/.
Vp buddy meridian wanatumia bado mtandao wa voda tuu mkuu?Poa Chief, tuko pamoja ... ππ
Vp buddy meridian wanatumia bado mtandao wa voda tuu mkuu?
Vp buddy meridian wanatumia bado mtandao wa voda tuu mkuu?
Dah allan248 mim line ya kwanza nshapoteza siku renew nkatengenez nyingine imepotea na cm kitambulisho nimekiacha mbali na nlipo sonwananletea makunyanz ya oooh nenda kalete barua polisi shit nimewatema kabisa sasa sijui nkasajili nyingine agrrrrrstill voda asee
Dah allan248 mim line ya kwanza nshapoteza siku renew nkatengenez nyingine imepotea na cm kitambulisho nimekiacha mbali na nlipo sonwananletea makunyanz ya oooh nenda kalete barua polisi shit nimewatema kabisa sasa sijui nkasajili nyingine agrrrrr
VIP mtaji ukiisha utawekaje sasa imagne lain ndo kama ivyo sina kwa sasIn the meantime, unaweza ukajisajiri meridianbet na ukawa unaenda kuvutia mpunga kwenye ofisi zao, sio kesi.