Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

VIP mtaji ukiisha utawekaje sasa imagne lain ndo kama ivyo sina kwa sas


Daah hapo majanga ... lkn km una simu nyingine au unaweza kutumia m-pesa ya mtu mwingine kurecharge account yako.
Pale kwenye option ya kuweka kumbukumbu ya malipo unaweka ID yako ya meridianbet.
 
Pale kwenye option ya kuweka kumbukumbu ya malipo unaweka ID yako ya meridianbet.
kama ni ivo bas atumie hiyo hiyo bt buddy kuvuta mtojo c mpaka betshop.
 
Pale kwenye option ya kuweka kumbukumbu ya malipo unaweka ID yako ya meridianbet.
kama ni ivo bas atumie hiyo hiyo bt buddy kuvuta mtojo c mpaka betshop.


Yap, mtonyo ni mpk betshop.
 
MKUU POLE SANA. NI AFADHALI WEWE UMECHANIWA NA HULL CITY KULIKO MIMI NILICHANIWA NA BAYERN MUNICH KWENYE LIGI KUU YA UJERUMANI, NA ALIKUWA NYUMBANI AKASALE 1-1 NA KUNIKOSESHA 280,000!
 
Dah allan248 mim line ya kwanza nshapoteza siku renew nkatengenez nyingine imepotea na cm kitambulisho nimekiacha mbali na nlipo sonwananletea makunyanz ya oooh nenda kalete barua polisi shit nimewatema kabisa sasa sijui nkasajili nyingine agrrrrr
jisajili kwa hawa wauza line za mpesa mtaani watoe buku 2 tu wanakusajili fasta
 
Wadau narudia tena, kuna hela nyingi sana kwa hawa waAustralia tunaziacha ... kwa option za I1+, I2+, 3+, GG&3+ etc. Yani wanatoa magoli mengi km hawana akili vzr

 
Mkeka wa leo
Metz Win
Genk Win
Inverness Win
Dundawalk Win
Clermont Win

Ukiweka ka 20k chako unatoka na ka 197k.....[emoji48][emoji48][emoji48][emoji48]
 
Albirex Niigata nakusubiri ww tu unipoze machungu ya jana ...πŸ™‚πŸ™‚

 
Huu mwingine wachawi wameshafanya yao ... πŸ™πŸ™

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…