Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wadau nachambua mikeka ya kesho naona Plzen amepewa odd ya 4.09 wakati ndiyo anaongoza ligi. Inakuwaje hapa????
 
Double bet hizo znakuaje kuaje mkuu


Hiyo 1X&2+ maana yake timu ya nyumbani ishinde ama itoe draw lakini pia yapatikane magoli mawili au zaidi, e.g. matokeo ya 2-0, 3-1, 1-1, 2-2 etc.
 
Hiyo 1X&2+ maana yake timu ya nyumbani ishinde ama itoe draw lakini pia yapatikane magoli mawili au zaidi, e.g. matokeo ya 2-0, 3-1, 1-1, 2-2 etc.

Sawa mkuu ngoja niunge tela [emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…