Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo


Well said mkuu .🙂🙂🙂
Tatizo wengine tukitia maguu na kujaribu mara moja kucheza stake ya kilo 2 ikaliwa ndo inakuwa mwanzo na mwisho, tunarudi kwenye buku 5 au 10 zetu .. heheheheh

Tatizo mnaweka timu nyingi sana
 
I do not encourage betting, its addictive. Always learn when to say its enough.
I sometimes stop for weeks, months
I lose, I gain, I learn
Kweli kabisa. Kuna siku nimekula laki saba mechi za mchana badala ya kusema nipumzike nikapanga mikeka ya jioni nikakombwa hela yote na masalia juu
 
Goli la tatu limeshindwa kupatikana na hivyo mkeka kuchanika ... Flora daah 🙁

upload_2016-5-6_22-3-55.png


Tuliokuwa pamoja kwenye mkeka huu poleni sana.
 

Well said mkuu .🙂🙂🙂
Tatizo wengine tukitia maguu na kujaribu mara moja kucheza stake ya kilo 2 ikaliwa ndo inakuwa mwanzo na mwisho, tunarudi kwenye buku 5 au 10 zetu .. heheheheh
Inabidi kutulia ikiingia hata elfu 10 kwa siku ni faida kubwa tatzo wengi tunashobo na mpunga mrefu ila kwasasa naenda mdogo mdogo staki makuu
 
Mi kwa siku ni mechi moja moja tu
Mfano toka jumatatu nimeweka na sijaliwa hata thumni
Sababu niliweka mechi moja moja ila stake ni kuanzia 500k
Bayern
Roma
Madrid
Liverpool

Unaona hapo kwa hizo siku nne zote nilikula maana wote walishinda
Kinachofanya mtu aweke tim nyingi ni kuongezea odds tatzo ndo linapoanzia
 
ila hao waliobaki ndio wananpa pressure


Utatoka tu mkuu usihofu ... hawa wafaransa (Natioan league) leo naona wameamua, full 3+ af game ziko dk ya 69

upload_2016-5-6_22-28-57.png


Halafu walikuwa na odds za ukweli kinoma kwenye option ya 3+ ... tumepishana na hela hapa.
 
Kuna huyu mshen... Anaitwa Linz wa Austria najuta kumfahamu.Ananilaza na viatu Le😵dds 1.28 kashindwa kutoa?
 
Root mimi naamini hata ukiweka single bet still una probability ya kushindwa but inakuwa ndogo sana

Ndo hapo inabidi hesabu zako zikae sawa sawa
Timu kama Bayern haichelewi kukuuua
 
Ndo hapo inabidi hesabu zako zikae sawa sawa
Timu kama Bayern haichelewi kukuuua
Ushauri tu.kipindi hichi cha mwisho wa ligi usiwekeze sana kwenye ushindi.matokeo ni ya ajabu sawa.kuna Tim kama Bayern,PSG,juve usiwabetie sababu washamaliza kazi.kuna timu zinapambana kushuka daraja.

NI HERI KUPAMBANA KWENYE MAGOLI[emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom