Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ushahidi wa message huu hapa mkuu

Hamisho la pesa limekamilika. Salio jipya TSh 1,078,606. Umepokea TSh 1,068,285 kutoka kwa M Bet MFI, kumbukumbu ya malipo. MFICI.160501.1019.W3890753681. 01/05/16 10:19.
Mkuu uliwekeza ngapi?
 
Kama unaogopa kuweka team nyingi unaweza ukachagua zako chache kwenye hizi
 
Attachments

  • 1462566720924.jpg
    1462566720924.jpg
    15.7 KB · Views: 45
Ushahidi wa message huu hapa mkuu

Hamisho la pesa limekamilika. Salio jipya TSh 1,078,606. Umepokea TSh 1,068,285 kutoka kwa M Bet MFI, kumbukumbu ya malipo. MFICI.160501.1019.W3890753681. 01/05/16 10:19.
Duh.. bac ngoja na mi nijaribu kutembelea nyot ya watu
 
Ushahidi wa message huu hapa mkuu

Hamisho la pesa limekamilika. Salio jipya TSh 1,078,606. Umepokea TSh 1,068,285 kutoka kwa M Bet MFI, kumbukumbu ya malipo. MFICI.160501.1019.W3890753681. 01/05/16 10:19.

Hongera sana mkuuu
Hongera sana kwa kumpiga
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Sunderland win
Leceister win
Cardiff win

Nishaulini hapo wachambuzi yupi atoke yupi nimuongeze
 
Mtoto wa inzi Leo nitatembelea nyota yako mku vipi utatokaje
 
Back
Top Bottom