Hali in mbaya aise dk. 57 Kyoto 0:0
tunatokaje leo budd kuna mechi nying sanaWa Kusoma aisee kaka una kismati, jamaaa wamefunga goli dk ya 94 na kufanya Y isomeke "won" ... BIG UP chief.
tunatokaje leo budd kuna mechi nying sana
mkuu leo kimyaLeo mechi ni nyingi kinoma Allan248, mikeka mingi nacheza magoli tu leo ... direct win/loss natia stake ndogo
Bet lostNatafuta mtaji asbh hii kwa ligi ya Japani. Nimeamua kucheza ngumu kumeza.
1. Kyoto Sanga Vs JEF Utd = Y
2. Tokyo Very Vs Matsumoto Yamaha = Y
Odds ni 4.3 kwa stake ya 150,000/= Nikila faida no 320,000.
Dua zenu jamani hawa watu wafungane mhindi sio ndugu yetu na sisi tukila tunalipa kodi lkn yy akika halipii kodi.
Japan ni jipuBet lost
Haaaaa! Kaka zilikuwa timu mbili ya pili imekataa Matsumoto wametoa 0:3Wa Kusoma aisee kaka una kismati, jamaaa wamefunga goli dk ya 94 na kufanya Y isomeke "won" ... BIG UP chief.
Aise nimeumia sana. Bado mapema lknTokyo imemharibia wakusoma hawajafungana
Mkuu inaonekana una mtaji wa kutosha,mi nikiliwa 150k ntazirai, mwisho wangu hua ni 15,000/=Bet lost
Hapa man u lazima awe jipu maana norwich anakaribia kushuka daraja cjui kama atamruhusu ashindeLeo natoka hivi, sijui mchawi nani??![]()
weka hata moyo kuliko kumpa dem snitchStandard account
5/5
0515 07-05 19:00 Apollon-APOEL
Double chanceX2
1.75
0386 07-05 21:00 Zurich-Basel
Double chanceX2
1.30
0777 07-05 22:00 GFCO Ajaccio-P S G
Double chanceX2
1.10
0798 07-05 16:30 Ingolstatd 04-Bayern Munchen
Double chanceX2
1.03
0611 07-05 19:00 AEK Larnaca-Omonia
Double chanceX2
1.22
Total odd3