Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Natafuta mtaji asbh hii kwa ligi ya Japani. Nimeamua kucheza ngumu kumeza.

1. Kyoto Sanga Vs JEF Utd = Y
2. Tokyo Very Vs Matsumoto Yamaha = Y

Odds ni 4.3 kwa stake ya 150,000/= Nikila faida no 320,000.

Dua zenu jamani hawa watu wafungane mhindi sio ndugu yetu na sisi tukila tunalipa kodi lkn yy akika halipii kodi.
 
  • Thanks
Reactions: PNC

Mkuu una moyo, mpaka Japan? Good luck
 
Mkuu una moyo, mpaka Japan? Good luck
Kwani Japani kuna nn? Hawa jamaa mechi zao zina magoli 2+ lkn kufungana in nadra sana ndio maana unaona odds ni nyingi nawaombea Leo wafungane tu.
 
Natafuta mtaji asbh hii kwa ligi ya Japani. Nimeamua kucheza ngumu kumeza.

1. Kyoto Sanga Vs JEF Utd = Y
2. Tokyo Very Vs Matsumoto Yamaha = Y

Odds ni 4.3 kwa stake ya 150,000/= Nikila faida no 320,000.

Dua zenu jamani hawa watu wafungane mhindi sio ndugu yetu na sisi tukila tunalipa kodi lkn yy akika halipii kodi.

Wa Kusoma, ungecheza timu za Australia usingekuwa na hofu sana ... jamaa nawakubali sana kwenye kufungana/kutoa magoli mengi. Hiyo "Y" si unamaanisha both teams to score ama?
 
Kama kuna mwana jamvi humu bado anawachukulia poa Australia, basi nae ni JIPU tu.

upload_2016-5-7_10-45-10.png

kuna game nyingine (chache lakini) zinaanza saa 5, tupia hata 2+ km unaogopa 3+ upate ya weekend.
 
Kama kuna mwana jamvi humu bado anawachukulia poa Australia, basi nae ni JIPU tu.

View attachment 345365

kuna game nyingine (chache lakini) zinaanza saa 5, tupia hata 2+ km unaogopa 3+ upate ya weekend.
Huku AU panaitwa poza machungu
Wanafungana balaa..suala ni kuwawahi tu maana nyingi huwa zinaanza saa 1
 
Natafuta mtaji asbh hii kwa ligi ya Japani. Nimeamua kucheza ngumu kumeza.

1. Kyoto Sanga Vs JEF Utd = Y
2. Tokyo Very Vs Matsumoto Yamaha = Y

Odds ni 4.3 kwa stake ya 150,000/= Nikila faida no 320,000.

Dua zenu jamani hawa watu wafungane mhindi sio ndugu yetu na sisi tukila tunalipa kodi lkn yy akika halipii kodi.
Wakusoma nakuombea kjana wng, umtusue untoe japo kamtaji ka 2,000. Leo sina mtaji [emoji24]
 
Man u win, HJK Helsink win, Bournemouth win, welder bremen win na newcastle win...
 
Back
Top Bottom