Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Bristol win
Oxford win
Mido GG
Zenit GG
Olympiakos GG
Ayr GG
 
Haaaaa! Kaka zilikuwa timu mbili ya pili imekataa Matsumoto wametoa 0:3


🙁🙁🙁 daaah !!! pole mkuu ... nlikuwa naifuatilia hiyo ya Kyoto coz na mm kuna mkeka nliipa 2+

Ila kwa hiyo option uliyoitaka, next time jaribu kwa timu za Australia ... huwezi poteza.
 
Mikeka leo nimecheza mingi sijarudia team ili kupunguza risk na pressure tuombeane mingine niliirusha jana hapa
 
Mikeka leo nimecheza mingi sijarudia team ili kupunguza risk na pressure tuombeane mingine niliirusha jana hapa


Hahaha ... kaka kama ulikuwepo, na mm leo sijathubutu kurudia. Unakuta timu moja inachana mikeka yooote.
 
Chelsea
Man U
Bayern
Dort
Burnley
Newcastle

All win
 
Leo naona kama wote tumeota. mikeka mingi alafu no kurudia timu. Maana timu nyingi hazina cha kupoteza. zingine zinatafuta kutokushuka daraja. Mfano game ya man u, chelsea, plizen, Leicester city hizo tuwe nazo makini, hiyo england championship ndio balaa tupu + jipu letu kuu Ac milan na hull city.
 
Mkeka bet nao wameanza kuzingua pesa toka asubuhi haionekani kwenye account yangu daah
 
Mkeka bet nao wameanza kuzingua pesa toka asubuhi haionekani kwenye account yangu daah
duh nimeweka pesa m-bet nusu saa sasa haionekani kwenye account na voda washatuma uthibitisho,nimtafute nani sasa,voda au gateway gaming limited.?
 
Hii ni kutoa tahadhari tu...usijaribu kabisa kuwapa hawa:
1.Burnley
2.Plzen
3.Feyenoord
 
Reactions: pri
duh nimeweka pesa m-bet nusu saa sasa haionekani kwenye account na voda washatuma uthibitisho,nimtafute nani sasa,voda au gateway gaming limited.?
Naona hawataki kuliwa hata mm nimedepost laki nane na nusu Mkeka bet tangu SAA tank mpaka sasa kimya. Lkn baadae itaingia
 
A MUST WIN
Tolouse v Troyes- 1
Aston Villa v Newcastle-2
Accrington v Stevenage-1
Elfsborg v Gefle- 1
Lille v Guingap-1
Monchenglabach v Leverkusen -1
 
Kwann mkuu mm naona Charlton hata akishinda anabak pale pale Burnley akipoteza anaweza kuwa wa pili kwahyo lazma ajitahid
Hii ni kutoa tahadhari tu...usijaribu kabisa kuwapa hawa:
1.Burnley
2.Plzen
3.Feyenoord
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…