Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mapema sana wakuu ... ingekuwa dk ya 87 sawa.

Jana kuna timu ilikuwa inaongoza 1-0 hadi dakika ya 85, lkn at FT matokeo yalikuwa 1-3
 
*****, huyu dortmund anaelekea kuharibu mambo.

Ngoja nikubali pesa nusu kwa kucashout. Tutakutana mechi za baadae na hapo kesho.
 
Dortmond na west ham sidhani kama kuna muujiza unaweza kutokea
 
*****, huyu dortmund anaelekea kuharibu mambo.

Ngoja nikubali pesa nusu kwa kucashout. Tutakutana mechi za baadae na hapo kesho.
ahahhaah bonyeza hicho kibatani cha cashout fasta man
 


Kwa takwimu hizi mpaka dakika hii ya 75, dortmund hii mechi ataliza watu.
 
Mpendwa Dortmund salaam sana,
Niliku-selekt kwa kukuamini na kuelewa uwezo wako,
Sina Cha kusema zaid ya kesho nayo siku,
Umechana vibaya mpaka kesho imekosekana ya supu.
Nani leo kampiga muhindi haswa?
Vipi root na bwana mapesa?
#mchezo hauhitaji hasira huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…