pri
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 828
- 675
Hichi ni kipigo cha mwisho wa ligiNilisema kitachotekea kitu humu .... Nikimaanisha "KILIO NA KUSAGA MENO".... KIMETOKEA.....
Hichi ni kipigo cha mwisho wa ligiNilisema kitachotekea kitu humu .... Nikimaanisha "KILIO NA KUSAGA MENO".... KIMETOKEA.....
HahahahahahahahhahahahahHichi ni kipigo cha mwisho wa ligi
Mikeka mi3 chali..kilichobaki ngoja ninywe bia tu...na nyama choma...nipumzike si kwa kipogo cha leo
Hahaha leo hata nikinywa beer sitalewa
Dortmund fala sana....na alaniwe mileleDortmund bana
Ila Chelsea mmmmmh nimesalenda kwa kweli duh
Kwa aliefuata mzgo umetikiSURE BET ZA LEO.
Cardiff - Draw
CSKA. - Win
Total Odds = 4.34
Hahahahaha mwanang umenichekexha balaaa mpaka nasahau machunguhuyo dortmund had over 1.5 kachana mkeka.. muhindi siku akiamua kuminya midevu mithili ya kule chini, lazima upige yowe la "mamaaaa"..
duh normal hzoNdoano ya mwisho jamani,
1. Olympiakos vs AEK=Y
2.Academics Vs Braga = Y
3. Zurich vs Basel = Y
duh normal hzo
Yaan huyu mm ndo kakamilixha kunichania mkeka wang wa 5red bull salbagz hahaha maza fanta kweli
Ikibakia hivi hadi mwisho mikeka miwili imekubali, wa tatu lille anasubiriwa ashinde weweeeee