Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

ad19f59611afb6048379917f8784f546.jpg
Duh! Yaani kwa buku umekula laki? Kwa non hukuweka laki moja umuue huyu jamaa mil 10?
Hongera sana
 
Ngoja tujaribu bahati katika kubahatisha. Nani na nani wachaguliwe katika stake kubwa.?

b1078fd090fdcafb375d295df21f48ea.png


0b765b9a8f0fc0373b87e1062dfe1c2b.png
 
Hapa vipi wanajamvi ..??

upload_2016-5-8_10-36-2.png


Au

upload_2016-5-8_10-39-54.png


Kabla sijajilipua ...
 
Leo Kati ya
Madrid
Man city
Atletico
Barcelona
Kuna mmoja atakufa... Mark my words
 
Nalia na fulham na oxford
Yote maisha lkn leo nayo cku
 

Attachments

  • 1462696707983.jpg
    1462696707983.jpg
    27.7 KB · Views: 27
Back
Top Bottom