Geniustin
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 4,380
- 2,855
Kwisha habari yake
2+ ina maana ni MAGOLI 3 na kuendelea au? Au na magoli mawili included?
Kwisha habari yake
2+ ina maana ni MAGOLI 3 na kuendelea au? Au na magoli mawili included?
Duuuuh!hesabu ni ngumu kweli...mawili na kuendelea2+ ina maana ni MAGOLI 3 na kuendelea au? Au na magoli mawili included?
Duuuuh!hesabu ni ngumu kweli...mawili na kuendelea
inamaanisha goal kuanzia 2 mkuu2+ ina maana ni MAGOLI 3 na kuendelea au? Au na magoli mawili included?
inamaanisha goal kuanzia 2 mkuu
![]()
Hapo VP wadau
1. Alaves Vs Valladolid 2+
2. Akhisar Vs Kayseripor 2+
3. Roma Vs Chievo 2+
Stake nilitaka kuweka 1M moyo umekataa nimeweka laki moja
Aaaaha hesabu za desimali!Nashukuru Mkuu, si unajua Hesabu janga la Taifa! Hahaha.
Vipi ikiwa OVER 0.5 au OVER 1.5 au OVER 2.5, wanamaanisha nini????
kazi tu maneno peleka vijiweni
Wigan salaam sana mkuu....
Maana umechana bila masikhara!!