Tape measure
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,990
- 3,701
mpira unadunda mkuu. apa amebak tu yeye na underleght
Spurs anaondoka na roho yangu huyu pumbafu kabisa..... nimeweka hela ya Kodi ili nilipie mwaka mzima.....sasa mkiona kimya mwezi mzima mjue sina umeme ntakua nakaa chini ya mti
tuombe Mungu tuHuyu ajax akizingua tu anachana mikeka yoteeeee
Aaaaha hesabu za desimali!
0.5=1+
1.5=2+
2.5=3+
Nadhani tumekumbushana
spurs nlimpa gol 2-6Spurs tunyooxheeeeeee
imu cjui imekuja kuajeAjax kapoteza ubingwa kijinga sana
mungu kasikia dua yakoAnderletch niokolee mkeka mmoja [emoji120][emoji120]
Anderletch niokolee mkeka mmoja [emoji120][emoji120]
Hapa tumenyooshwa wote mkuuWigan salaam sana mkuu....
Maana umechana bila masikhara!!
kauokoa,natumaini na Fiorentina na Sousulo wapate gol 2+mungu kasikia dua yako
Madrid na Barca nimewapa ushindi kipindi cha kwanza ... yani wawe wanaongoza at HT.
Ngoja nitoke hivi tu ...
View attachment 345601