PNC
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 8,105
- 14,356
duuuuh mkuu wewe unaundugu na Tibaijuka[emoji15] [emoji15] yani 148000 ni ela ya mboga[emoji87]Dah....ata ya mboga umekataa
duuuuh mkuu wewe unaundugu na Tibaijuka[emoji15] [emoji15] yani 148000 ni ela ya mboga[emoji87]Dah....ata ya mboga umekataa
next time uwe unafanya turbo payDah....ata ya mboga umekataa
Point ya 3.... Sio ushauri mzuriUshauri wa bure kabisa kwa wanaobet.
1. Usibet kwa kuiga matokeo ya mwenzio. Kama aliweka mkeka kwa 500 akavuna 1m, nawe utavuna.
2. Bet kama kujifurahisha ila uwe na malengo ya kushinda. Ikitokea ukashindwa usipanic
3. Weka timu 2 or 3 or 4. Yaan chache ila weka stake kubwa
Juve ashakalia msumari uko sjui atatokalast chance.. natafuta back up ya mwisho
juve
napoli
all win
Anachokifanya Juve sijakielewaJuve ashakalia msumari uko sjui atatoka
Kapigwa mbiliJuve ashakalia msumari uko sjui atatoka
Me nadhani kuna wakati ni kiburi chetu coz ukiangalia kipindi cha mwsho wa msimu timu nyingi za mkiani znafanyaga maajabu ukicheki juve hana cha kupotezaAnachokifanya Juve sijakielewa
Ndio basi tenaKapigwa mbili
Kanichania laki Mbil niliianda toka janaNdio basi tena
Me kanchania megamix yeye na Atletico ningeianza jumatatu vzuriKanichania laki Mbil niliianda toka jana
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Happy mamaz day juve...
[emoji36] [emoji36] [emoji134]Basi nizuie magoli kipindi cha pili..... Likanikuta lilelile.... Pumbavu guimares