Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

a2bd26b6cc04075de3a386f1ded2bc4b.jpg
najilipua tena ivi, impossible to possible
 
Spezia vs Brescia wasipotoa 2+ naacha huu mchezo kwa muda maana mtaji utakuwa umeisha.

Alichonifanya Jana Juve sitakisahau
 
Hela ya ngombe imepotea hapa huyu Fenebahce huyu aaaaa kweli we noma
 
Hii unakula dk ya 30 wako 0:0 na we umeweka U2. Agiza kabisa utalipia baadae.

Mm nasubiri gori moja kwa Spezia na Brescia niliweka 2+


Kaka dk 15 ni nyingi mnoo kwenye football. Juzi kati kuna timu ilikuwa imepigwa 1-0 mpk dk ya 87, lkn FT: 1-3 ... nlishangaa kinoma
 
Wakuu mbona kila niki Sign in MeridianBet inaniambia "Your Country has been blocked"
 
Back
Top Bottom