Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Pole mdau
Huwa napata tatizo sana na wa kuongeza.... Ila dundark yuko vizuri atatoa...hapo sasa poa mkuu....nahisi kumuongeza dundlack....vp hapo?
man u stratosphere overBasel 3+
Young boys 3+
Man u 0-2
Leo ni ama utajiri ama umasikin. Baadae nitaiweka hapa wakufata agate ili kama tunakula tule wrote na kama tunaliwa tuliwe wote.
Hizo mbili chini ni za Jana naona aliyenifuata tumecheka wote
View attachment 346294
Under 1.5 maana yake magoli yasizidi moja.Wa kusoma, Naomba kuuliza; "Under 1.5" ina maana gani?
Also, Thanks in advance kwa mikeka utakayoweka.
Leo nami ngoja nitembelee nyota yako,1. Dinamo Zagreb 2+
2. SAK Klageful 2+
3. Basel 2+
4. Dundalk 2+
5. Clyde 2+
6. Westham 2+
sawa wakusoma nimeona leo mtaji unaoUnder 1.5 maana yake magoli yasizidi moja.
mkuu hapa sijakupata1. Sibir Vs Gazovic 2