Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

wkuu naahirisha leo kubet mech za football mpaka EURO ikianza,ntaendelea kubet basketball tu kwa sasa
 
Yani Eibar umeninyang'anya tonge mdomoni hivi hivi ... daaah 🙁🙁

upload_2016-5-7_13-16-55.png
 
Dah....ata ya mboga umekataa
 

Attachments

  • Screenshot_2016-05-08-21-37-28-1.png
    Screenshot_2016-05-08-21-37-28-1.png
    51.4 KB · Views: 40
Back
Top Bottom