Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nyota nyema huonekana asubuhi Hiroshima ameshamtia mtu goal 3
 
4/4
0375 08-05 13:30 Roma-Chievo
Final Score1 1.21
1882 08-05 14:45 Lugano-Grasshoppers
Total Goals2+ 1.10
1294 08-05 15:30 Anderlecht-Oostende
Final Score1 1.34
1780 08-05 16:30 SC Freiburg-Heidenheim
Total Goals2+ 1.16
 
Ushauri wa bure kabisa kwa wanaobet.
1. Usibet kwa kuiga matokeo ya mwenzio. Kama aliweka mkeka kwa 500 akavuna 1m, nawe utavuna.
2. Bet kama kujifurahisha ila uwe na malengo ya kushinda. Ikitokea ukashindwa usipanic
3. Weka timu 2 or 3 or 4. Yaan chache ila weka stake kubwa
 
Leo game zimeanza vizuri sanaaa team nyingi zinaongoza maombi yaendeleee nasikia harufu ya pesa ndefu mnoooo
 
Fleetwood town anaongoza 2
Roma anaongoza 2
Celtic anaongoza 2
Bradford anaongoza 1
Hiroshima asubuhi alishinda goal 3

Eeeeeeh mungu sikia sala zetu
 
Vipi hapa... Anderletch, Liverpool, Zaragoza, Juve na Benfica. Stake 50000
 
Back
Top Bottom