mkuu usisahau kuupandisha na sisi tudeseHahahahahaha mchawi kumjua tabu sanaaaa ngoja nisuke mkeka wa mwisho nisubiri kesho
Ww suka 2 wengine tuxhanyooxha mikono juu kwa leoMpendwa Dortmund salaam sana,
Niliku-selekt kwa kukuamini na kuelewa uwezo wako,
Sina Cha kusema zaid ya kesho nayo siku,
Umechana vibaya mpaka kesho imekosekana ya supu.
Nani leo kampiga muhindi haswa?
Vipi root na bwana mapesa?
#mchezo hauhitaji hasira huu.
Hahahahahaha mchawi kumjua tabu sanaaaa ngoja nisuke mkeka wa mwisho nisubiri kesho
Defoe kapiga msumar mwingne 3-2
Lile anakuaga jipu huyuuSporting cup
Lille
Braga
Inter
All to win
na InterLile anakuaga jipu huyuu
leteni backup plan jaman au mmekubali mtoto wa nzi upo wapi
Magoli unachezaje mkuuKuipa timu win ni kujiweka matatizoni angalau magoli...