Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hahahahahaha mchawi kumjua tabu sanaaaa ngoja nisuke mkeka wa mwisho nisubiri kesho
 
Ww suka 2 wengine tuxhanyooxha mikono juu kwa leo
 
Mpaka kusuka naona Jau.
Mwenye kusuka aweke tuigizie tu!!
 
Kuipa timu win ni kujiweka matatizoni angalau magoli...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…