Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hii unakula dk ya 30 wako 0:0 na we umeweka U2. Agiza kabisa utalipia baadae.

Mm nasubiri gori moja kwa Spezia na Brescia niliweka 2+

Haya sasa Spezia ashindwe yeye tu ... wapinzani wameshapunguzwa na red card.
 
Hata mimi nimeipata hiyo error ... imeanza jioni kuanzia saa 12 hivi. Watakuwa na tatizo la kimtandao.

Sure nimefuta machungu ya jana ... naamka na supu nzito kesho. Halafu ni uoga tu, hizi odds 20 kumbe ningetupia stake 20,000/- nicheke vizuri 🙂😀

Hii unakula dk ya 30 wako 0:0 na we umeweka U2. Agiza kabisa utalipia baadae.

Mm nasubiri gori moja kwa Spezia na Brescia niliweka 2+

Wa Kusoma, naona mambo yanakuendea vzr na ww ...
 
hii weekend iliyopita muhindi kanipausha mtaji wote.....ajax....dortmund...chelsea...atletico...na hata timu yangu man cty wote wameniangusha......sasa nasikitika kuona watu wanapost mikeka walioshinda...kwann msipost mapema tukaona wote????

wa kusoma...buddy...ben 86 nyie huwa nawafuata sana na naomba muendelee kupost mikeka mpema ili angalau nirudshe pesa muhindi alizochukua
 
Sawa mkuu tutafanya hivyo ... unajua sometimes unajiskia vibaya kuona mtu kakufuata halafu mmepigwa wote. Unakuwa unahisi kama umemponza aliwe kumbe huwa inatokea bahati mbaya. Nitashare mkeka nikiusuka chief.
 
ni kweli mkuu...lakini usijali wewe weka tuu...mtu kufuata ni hiari yake...kama mimi huwa namfuata sana wa kusoma...ila kwa stake ndogondogo sikosi pesa ya mboga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…