Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Leo ni ama utajiri ama umasikin. Baadae nitaiweka hapa wakufata agate ili kama tunakula tule wrote na kama tunaliwa tuliwe wote.

Hizo mbili chini ni za Jana naona aliyenifuata tumecheka wote

View attachment 346294

Wa kusoma, Naomba kuuliza; "Under 1.5" ina maana gani?

Also, Thanks in advance kwa mikeka utakayoweka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…