Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

je likipatikana kipindi cha pili unakuwa umeliwa na si cha kwanza?
11+ hii ni kwa first half na 111+ hii ni second half yaan utakavyoweka kwenye hcho kipnd goli lipatkane likikosekana majanga
 
Wadau mbona meridian bet application kwenye simu yangu haifanyi kazi
Hiyo app ya meridian kweny sim yangu nikitumia bando la halotel ina fungua na ina fanya kazi ila nikiwa nime jiunga vifurush vya tigo ina kua ina goma nazani ina tatizo la kuchagua mtandao husika wa simu
 
ngoja nijaribu hivi..... zisifike goli nne.... wao wacheze tu...zisifike 4...
 

Attachments

  • 0-3.png
    6.9 KB · Views: 48
ndo mana ikantamanisha sasa nkawa sion option za kuwithdraw zaid ya kwenda hapo kwao
kuna hawa jamaa wanajiita

preamierbetting nao nimeona wana option nyingi...

pia wana njia ya kuwithdrawa kwa tigo

How do I withdraw my money using Tigo option?


Log in to your account, click on WITHDRAW, click on Tigo option, enter the amount you want to withdraw, and click on Submit. Once you have made a withdrawal request, we will process this request as quickly as possible. Withdrawal requests can take up to 24 hours when requested before 5pm Monday to Friday. Withdrawals requested after 5pm on a Friday will be processed at 10am on Monday.
 
Hiyo app ya meridian kweny sim yangu nikitumia bando la halotel ina fungua na ina fanya kazi ila nikiwa nime jiunga vifurush vya tigo ina kua ina goma nazani ina tatizo la kuchagua mtandao husika wa simu
Hata mimi natumia halotel haisumbui kiivyo kama nnavyoona watu wanalalamika
 
Reactions: DLS
onilne betting ishanza fanya kazi hawa jamaa?
 
onilne betting ishanza fanya kazi hawa jamaa?
Yah ishaanza muda sasa shida ni kuweka hela kwenye A/c lazima ununue vocha zao hapo ndo naona wajirekebishe mim nina a/c naiangaliaga tuu sina namna mana vocha zao zinasumbua kuzipata
 
japo kwa options kwakweli wanajitahidi
hilo nawapongeza
Goli kupatikana kipindi cha kwanza wanakuwaga na 2.30 nimetamani hatariii tena hii ni kwa mechi ya Leo ya dundalk
 
Yah ishaanza muda sasa shida ni kuweka hela kwenye A/c lazima ununue vocha zao hapo ndo naona wajirekebishe mim nina a/c naiangaliaga tuu sina namna mana vocha zao zinasumbua kuzipata


Tatizo hawajitangazi tayari wanayo option ya tigopesa wangekuwa wanatukia jf kujitangaza wangepata wateje sana ngoja tuwasaidie

hebu cheki hatua zao hapa

How do I add funds to my account using Tigo option?

In order to use this payment method you will first need to add a valid Tigo number to your Premier Bet account. This can be done by going to My Account and clicking on My Details. Add your Tigo number under the Contact section of your profile. To add funds to your account click on Deposit and select Tigo payment option. Enter the Amount, click on Submit, click on Confirm, and finally click on Close. You will be prompted to complete the following steps on your phone to finalize this transaction:
Dial *150*01# to get your Tigo Pesa Menu

Select 4 for “Payment” on your Tigo Pesa Menu

Select 3 for “Pay companies”
Choose 2 for “Enter Business Number”

Enter business number “500700”

Enter your reference number
Enter amount you want to pay

Confirm details and Enter PIN
Bill-Payment Details

Business Number: “500700”
Company Name: Premier Bet
Amount 50000

Enter PIN to confirm
You will receive a confirmation message from Tigo Pesa.
 
Vp wakuu kuna yeyote anayetumia superbet humu anielekeze jinsi naweza weka pesa ktk hio campuni

Njia rahisi mkuu ni kununua vocha kwenye maduka yao alaf unaload kama kawaida..duka kubwa lipo mwenge itv na branch ipo kariakoo msimbazi kwenye jengo la simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…