Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

mkuu nmeona hio procss ya kuweka but najiuliza hio online betting iko active?maana hawa jamaa ni wazushi kinoma nsije tia mzigo wakaanza leta mlolongo
 
Yah ishaanza muda sasa shida ni kuweka hela kwenye A/c lazima ununue vocha zao hapo ndo naona wajirekebishe mim nina a/c naiangaliaga tuu sina namna mana vocha zao zinasumbua kuzipata
so kuna watu washanza kubet online mana kuna kipnd walisema haiko tayar ingawa tulikua tunaiona hewan
 
so kuna watu washanza kubet online mana kuna kipnd walisema haiko tayar ingawa tulikua tunaiona hewan
hapo sasa sijui kwakweli maana sijawahi itumia... ngoja nijisajili niweke mpunga kiasi kidogo nione itakuwaje
 
kupigwaa kunaumiza japo game halihitaji hasiraa...😑😑😑
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…