Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo


Hahaha ... huu mkeka nimecheka kinoma, maana ni mreeefu mpk screen imekoma. Aisee sitaki presha tena, hapa ni 2+ tu ... yani sihangaiki kuangalia sijui kipindi cha kwanza, sijui cha pili hainihusu. Funganeni mnayotaka lkn mm naomba magoli mawili tu. Nimemaliza kwa leo na kesho, tuonane weekend. All the best wadau !


 
ni kweli mkuu..acha wafungane za kutosha leo...mm nimeeka ligi za germany regionaliga pamoja na ligi ya czech....wanatoa 2+ balaa....
 
Huu mkeka ni mrefu sana Buddy
 
Huu mkeka ni mrefu sana Buddy


Yes Wa Kusoma but I can afford to lose TZS1,000/= ... remember our motto "Bet what you can afford to lose" teh teh teh teh ...
Lakini hivi katika timu 300+ zinazocheza karibia kila siku/juma ... ni ngapi wanatoa 2+??? ni nyingi sana obvious so mm nimechagua 30 tu ...😀😀😀

Good luck to me ! 🙂
 
Angalia kwa timu za jana kwa mfano ... majority zina 2+



kati ya hizo zote zinazoonekana hapo juu ni 3 tu ndio hazikufika magoli mawili. Halafu uzuri wa hii option hauumizi kichwa ... yeyote atakayefungwa inakuwa haikuhusu, unasubiri magoli mawili tu.

Ngoja niunde mwingine hadi wa weekend af natupia stake nzuri kidogo (lakini timu 15) #Hatukomi
 
Hii nzuri, ngoja niugawe nusu
 
wakuu leo mimi najilipua hivi:
everton
liverpool
norwich

ALL TO WIN

ushauri wenu tafadhali. hizi point 5 za everton zimenivutia. ina maana kweli everton wamekuwa vibonde hivi?
 
wakuu leo mimi najilipua hivi:
everton
liverpool
norwich

ALL TO WIN

ushauri wenu tafadhali. hizi point 5 za everton zimenivutia. ina maana kweli everton wamekuwa vibonde hivi?

Iko hivi mkuu kama Sunderland akishinda leo basi atakua amejibakikishia kua hata shuka daraja msimu huu ugumu wa mechi uko hapo
 

Mkuu hii compny gani haina kikomo cha mechi!?
Nilijua meridian mwsho 20
 
nimekuelewa sana mkalii hiloo bonge la idea mie mwenyewe nimejilipua kiivyo tokea jana baada ya kupokea za uso kupitia final score..
 
wakuu leo mimi najilipua hivi:
everton
liverpool
norwich

ALL TO WIN

ushauri wenu tafadhali. hizi point 5 za everton zimenivutia. ina maana kweli everton wamekuwa vibonde hivi?



Bro, ushindi wa Everton leo ni draw na si vinginevyo. Hivi umewaangalia Sunderland hivi karibuni?? wanacheza jihadi mwanzo mwisho. Lakini chochote kwenye football kinaweza kutokea, kuna kupigwa redcard, kupata penalty etc ...
Ila kumpa Everton ... mmh
 
wakuu leo mimi najilipua hivi:
everton
liverpool
norwich

ALL TO WIN

ushauri wenu tafadhali. hizi point 5 za everton zimenivutia. ina maana kweli everton wamekuwa vibonde hivi?
mkuu Everton uwezo wa kushinda hiyo game ni mdogo saana kajitahid lbda kadraw
 
nimekuelewa sana mkalii hiloo bonge la idea mie mwenyewe nimejilipua kiivyo tokea jana baada ya kupokea za uso kupitia final score..


Sure man, nimekaa nikaangalia mechi za kila siku kupitia Livescore nikaona hapa kuna kitu hapa tunapishana nacho. Yani kama kwa siku zinacheza mechi 100, ambazo hazitoi 2+ hazizidi 10 (kwa ligi maarufu 'popular leagues')
Halafu tunadharau odd ya 1.12, kumbe ukizikusanya zikafika 20 ni odd nzuri
 
Hapa fresh ...

Sunderland - 1.81
Midtylland - 1.38
Horsens - 2.20
Rubin - 2.20

-------------------------
Total Odds = 12.09
Stake = 10,000/-
 
kwelii mkalii
2jilipue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…