Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Tusaidiane kumtafuta mchawi kwenye hizi..

Victoria pzen
Krasnodar
Zurich
Liverpool
Celtic
Sunderland
Norwich
Shaktar
PSG

All to win
 
everton 2 sunderland 1.......
 
everton 2 sunderland 1.......
Hiyo Everton mbona mnamlazimisha ishinde...nadhani magoli kwa mechi hiyo ni sawia...Sunderland ni must win game kwahiyo possibly watafanya kila wawezalo...wakati Everton ni kama ligi imeisha kwao hawana cha kupoteza
 
wakuu leo mimi najilipua hivi:
everton
liverpool
norwich

ALL TO WIN

ushauri wenu tafadhali. hizi point 5 za everton zimenivutia. ina maana kweli everton wamekuwa vibonde hivi?
Mkuu hapo cheza magol,hao sanderland lazima washinde.Unakumbuka alivyomkimbiza Chelsea juzi?
 
Hiyo Everton mbona mnamlazimisha ishinde...nadhani magoli kwa mechi hiyo ni sawia...Sunderland ni must win game kwahiyo possibly watafanya kila wawezalo...wakati Everton ni kama ligi imeisha kwao hawana cha kupoteza
ok
 
ni kweli kumpa everton kunahitaji uwe na roho ya paka but still anything can happen...everton ni timu nzuri ila kushuka daraja kwa sunderland kutafanya mechi iwe ngumu kama jiwe.
 
Sunderland 2+
Aarus 2+
Haugesund 2+
Hobro 2+
Sonderjske 2+
Odds 3
Hapa wapi ponjoro atanichungulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…