Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Huu mchezo hauna ADABU wala hauitaji hasira kwa shilingi mia mbili tu.nimepga laki na kitu ila kuna mikeka ya buku,ef tano ilokufa daah!



Umetisha sn kamanda ... yani hapo ungejilipua na buku ungekuwa unaskia harufu ya Milion ...
 
Zenit St Wamenichania Mkeka Wangu Wa Mwisho Kwa Leo. Dah ! Wamenikosesha Lak Na Ushee
 
ungeamka ukiwa ni mtu mwingine kabisa endapo ungeweka kiasi cha sh. elfu mbili tu
Dah kuna nilio uwekea elfu tatu ukafa huu nilikua natest tu sasa mara paaaa!
Umetisha sn kamanda ... yani hapo ungejilipua na buku ungekuwa unaskia harufu ya Milion ...
Sasa chief ndo ivo uwez jua kama utakula au laa!huku n kurusha jiwe gizani afu unaskia yowe na mengine mengi yatapta
 
Hawa tunawaita wachawi ningebadil kidogo tu apo mpunga ungeniusu.sema ndo hivyo tim za italy sina baat nazo
 
Wadau nataka nijiunge mkeka bet ..sasa maelekezo yao hata sielewi hapa maana imetokea sehemu ya kuandika no ya sim na password.. sasa hiyo password nitaipataje?..msaada tafsdhari.
 
Wadau nataka nijiunge mkeka bet ..sasa maelekezo yao hata sielewi hapa maana imetokea sehemu ya kuandika no ya sim na password.. sasa hiyo password nitaipataje?..msaada tafsdhari.
ipo hv utaingiza namba yako ya simu utakayokuwa unatumia afu password utaweka namba tano usichanganye na herufi
 
tayari nishajilipu jamani.
Cska Moscow - Krasnodar 1.73 Cska Moscow Win May 16, 2016 - 7:30 pm
Grasshopper-club - Fc Vaduz 1.62 Grasshopper-club Win May 16, 2016 - 5:00 pm
Fc Thun - Fc Sion 2.22 Fc Thun Lose May 16, 2016 - 5:00 pm
Skive - Lyngby 1.80 Skive Lose May 16, 2016 - 2:45 pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…