Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wadau nataka nijiunge mkeka bet ..sasa maelekezo yao hata sielewi hapa maana imetokea sehemu ya kuandika no ya sim na password.. sasa hiyo password nitaipataje?..msaada tafsdhari.

Kujiunga Mkeka bet ni simple tu,Kwanza unatakiwa uwe na Voda laini....
Then Ingia Menu ya Mpesa nenda Lipa kwa Mpesa, Ingiza Namba ya Kampuni( ya Mkeka bet) ambayo ni 238844......kisha ingiza namba ya Kumbukumbu 123458(hii ipo constant) then Deposite kiasi unachotaka( ila kianzie 250 au zaidi).....

Sasa baada ya hapo,Mkeka bet wanasema usubiri Kama Dakika kadhaa hivi watakutumia PIN CODE(ambayo utakuwa unaingilia)

NOTE;
From my experience, nilisubiri Nusu saa nzima bt hawakunitumia.....Nilichofanya, niliwapigia.....na Wakanipa PIN CODE hapo hapo....

Ushauri;
baada ya kumaliza kuDeposite,subiri kama Dakika 5 hivi alafu wapigie,uwaombe hiyo PASSWORD.
 
Namba yao Mkeka bet ni 0676 260 553.
 
tayari nishajilipu jamani.
Cska Moscow - Krasnodar 1.73 Cska Moscow Win May 16, 2016 - 7:30 pm
Grasshopper-club - Fc Vaduz 1.62 Grasshopper-club Win May 16, 2016 - 5:00 pm
Fc Thun - Fc Sion 2.22 Fc Thun Lose May 16, 2016 - 5:00 pm
Skive - Lyngby 1.80 Skive Lose May 16, 2016 - 2:45 pm
natembelea nyota yako kwa hizo mbili za kwanza
 
Kujiunga Mkeka bet ni simple tu,Kwanza unatakiwa uwe na Voda laini....
Then Ingia Menu ya Mpesa nenda Lipa kwa Mpesa, Ingiza Namba ya Kampuni( ya Mkeka bet) ambayo ni 238844......kisha ingiza namba ya Kumbukumbu 123458(hii ipo constant) then Deposite kiasi unachotaka( ila kianzie 250 au zaidi).....

Sasa baada ya hapo,Mkeka bet wanasema usubiri Kama Dakika kadhaa hivi watakutumia PIN CODE(ambayo utakuwa unaingilia)

NOTE;
From my experience, nilisubiri Nusu saa nzima bt hawakunitumia.....Nilichofanya, niliwapigia.....na Wakanipa PIN CODE hapo hapo....

Ushauri;
baada ya kumaliza kuDeposite,subiri kama Dakika 5 hivi alafu wapigie,uwaombe hiyo PASSWORD.

Good nshapata sms ya pini na nime log in..bado shida inakuja kwenye kuchagua timu maana nshazoe m bet nikichagua timu naiona kwa juu pale sasa huku nikipoint timu panaweka kivuli tu hata siuoni mkeka wangu..
 
Hahahahahha!! Huku ukichagua timu,utaziona kweny "Betslip"...kuna neno Betslip lipo kwa chini hapo.....Ukitaka kuziona, u just have to click there...ahhaha
 
Guys Yule jamaa aliyeonesha first time Betting ya American Election please Naomba anisaidie ufafanuzi wake
 
Mkeka bet nao machoko kweli yani app yao inazingua sasa afu ndo nataka nicheze kureplace mkeka nlopigwa agrrrr yan
 
Hivi vichapo vitaendelea sana.... Labda kucheza magoli.... Ligi zilizobaki ni ovyo .... Norway denmark Sweden Finland Switzerland(ndio inaisha) Bulgaria Belarus Latvia Hungary ... Huko note hakuna mbabe yeyote anapigwa.... Nna shauri mcheze magoli au vyovyote ila sii matokeo ya mwisho
 
betting ya magoal ndio kila kituu final score uzush kabisaa daahh
Hivi vichapo vitaendelea sana.... Labda kucheza magoli.... Ligi zilizobaki ni ovyo .... Norway denmark Sweden Finland Switzerland(ndio inaisha) Bulgaria Belarus Latvia Hungary ... Huko note hakuna mbabe yeyote anapigwa.... Nna shauri mcheze magoli au vyovyote ila sii matokeo ya mwisho
kweli kabisaa mzeirr
 
Back
Top Bottom