Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

wazee wenzangu wa kuweka MIZIGO nataka kujiunga na MERIDIANBET online....tayari nimejisajiri ila naambiwa akaunti yangu bado haijawa active. ili iwe ACTIVE nifanyaje wadau maaana nimejaribu kudeposit hela lakini pia nimetakiwa niingize ACCOUNT ID kwenye muamala huo. sasa hii ACCOUNT ID mimi nitaipata wapi? msaada wenu tafadhali.
 
Tpaul,,wapigie wakuactivate,maana hata mie nilifanya hvo,huwez kudiposit bila kuwa na ID no.ambayo ipo kwenye acc
 
wazee wenzangu wa kuweka MIZIGO nataka kujiunga na MERIDIANBET online....tayari nimejisajiri ila naambiwa akaunti yangu bado haijawa active. ili iwe ACTIVE nifanyaje wadau maaana nimejaribu kudeposit hela lakini pia nimetakiwa niingize ACCOUNT ID kwenye muamala huo. sasa hii ACCOUNT ID mimi nitaipata wapi? msaada wenu tafadhali.

Account ID ipo fanya ka unabet weka team yoyote alafu nenda ke betslip pale kwa juu kuna ID number yako
 
Hapa vipi wadau
 
Attachments

  • 1463463396647.jpg
    1463463396647.jpg
    12.1 KB · Views: 44
wazee wenzangu wa kuweka MIZIGO nataka kujiunga na MERIDIANBET online....tayari nimejisajiri ila naambiwa akaunti yangu bado haijawa active. ili iwe ACTIVE nifanyaje wadau maaana nimejaribu kudeposit hela lakini pia nimetakiwa niingize ACCOUNT ID kwenye muamala huo. sasa hii ACCOUNT ID mimi nitaipata wapi? msaada wenu tafadhali.

Umecheck kwenye email yako?? huwa wanatuma activation link kwenye email. Ukiiclick hiyo link ndio unakuwa ume-verify na account yako inakuwa activated.
 
Huu mchezo hauhitaji hasira lakn kuna mda mmmhh unashindwa kujizuia

Ebu ona jana ucku nna mkeka ulikua imebaki mechi ya brighton tuu ili nile mpunga na nlimpa ashinde
Kabla mechi haijaanza nkapata wasiwasi
Nkazama online nkamuua kwny mkeka wa timu 1 ili akizingua ule wa kwnza ntakula huu wapili
***** wahal si amedroo

Imebidi nicheke tu[emoji3]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaah, umenchekeshaa kinoma
 
Mkuu usicheke
Yani hapo nlijiona nmempatia kchz nkasahau kunakuaga na droo

Yani natamani kwenda likizo lakn kila nikiwaza navomdai mwindi pesa mingi nashindwa kbsa
 
Hahahaha ... daah, Chris41 umenchekesha sana asbh hii ... aiseee likizo hakuna hapa mpk tushinde m5 😀😀😀
 
Huu mchezo hauhitaji hasira lakn kuna mda mmmhh unashindwa kujizuia

Ebu ona jana ucku nna mkeka ulikua imebaki mechi ya brighton tuu ili nile mpunga na nlimpa ashinde
Kabla mechi haijaanza nkapata wasiwasi
Nkazama online nkamuua kwny mkeka wa timu 1 ili akizingua ule wa kwnza ntakula huu wapili
***** wahal si amedroo

Imebidi nicheke tu[emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Huu mchezo hauhitaji hasira lakn kuna mda mmmhh unashindwa kujizuia

Ebu ona jana ucku nna mkeka ulikua imebaki mechi ya brighton tuu ili nile mpunga na nlimpa ashinde
Kabla mechi haijaanza nkapata wasiwasi
Nkazama online nkamuua kwny mkeka wa timu 1 ili akizingua ule wa kwnza ntakula huu wapili
***** wahal si amedroo

Imebidi nicheke tu[emoji3]
Yani jana Brighton kanichania wa win halafu Rostov kachana wa 2+ huku wenzao wote wakiwa wameshatiki, yani mchawi hua anatokea mmoja tu na anakera kwa kweli
 
Back
Top Bottom