Nataka kujilipua 5+ kwa mechi ya Man U.......
Ina return kubwa,ila maumivu yake sasaa!! Hahahahahahahahahhahhahahahahha
Hahahah, mkuu unataka kumpa Man U ashinde goli 5 (Home team goals 5+) ama mechi nzima itoe 5+?
bora uanzie 3 au 4 kwa tahadhariMechi nzima itoe 5+.........
Mechi nzima itoe 5+.........
Asante mkuu...nimeishafanikiwa kujiunga ila niliweka fedha kabla akaunti haijawa ACTIVE (nilidhani kua-activate account ni kudeposit hela). Baada ya kuona akaunti haiko active, nikapiga Customer Care wakaniomba niwatumie details (jina la mpesa, account no, na namba ya simu)...waka-activate akaount lakini salio likawa linasoma Tsh 0.00/=. Nimepiga leo kuwauliza wakaniomba receipt ya mpesa, wakanambia pesa zangu zitaonekana kwenye akaunti lakini mpaka sasa HOLA. nina wasiwasi hawa Meridian ni WEZI.Account ID ipo fanya ka unabet weka team yoyote alafu nenda ke betslip pale kwa juu kuna ID number yako
du, ilibaki kidogo tu umkalishe kanjibai.
Yeah! Activation link iliingia kwenye spam nikawa siioni. Nimeishafanikiwa kujiunga ila niliweka fedha kabla akaunti haijawa ACTIVE (nilidhani kua-activate account ni kudeposit hela). Baada ya kuona akaunti haiko active, nikapiga Customer Care wakaniomba niwatumie details (jina la mpesa, account no, na namba ya simu)...waka-activate akaount lakini salio likawa linasoma Tsh 0.00/=. Nimepiga leo kuwauliza wakaniomba receipt ya mpesa, wakanambia pesa zangu zitaonekana kwenye akaunti lakini mpaka sasa HOLA. nina wasiwasi hawa Meridian ni WEZI.
Umecheck kwenye email yako?? huwa wanatuma activation link kwenye email. Ukiiclick hiyo link ndio unakuwa ume-verify na account yako inakuwa activated.
Mkuu email iliingia kwenye spam, nilikuja kuiona baadaye kabisa. Nimeishafanikiwa kujiunga ila niliweka fedha kabla akaunti haijawa ACTIVE (nilidhani kua-activate account ni kudeposit hela). Baada ya kuona akaunti haiko active, nikapiga Customer Care wakaniomba niwatumie details (jina la mpesa, account no, na namba ya simu)...waka-activate akaount lakini salio likawa linasoma Tsh 0.00/=. Nimepiga leo kuwauliza wakaniomba receipt ya mpesa, wakanambia pesa zangu zitaonekana kwenye akaunti lakini mpaka sasa HOLA. nina wasiwasi hawa Meridian ni WEZI.Account ID huwa wanaituma kwenye Email yako(uliyoIandika)....
Vinginevyo, Wapigie tu....Mambo yatakuwa Murua.
Mkuu email iliingia kwenye spam, nilikuja kuiona baadaye kabisa. Nimeishafanikiwa kujiunga ila niliweka fedha kabla akaunti haijawa ACTIVE (nilidhani kua-activate account ni kudeposit hela). Baada ya kuona akaunti haiko active, nikapiga Customer Care wakaniomba niwatumie details (jina la mpesa, account no, na namba ya simu)...waka-activate akaount lakini salio likawa linasoma Tsh 0.00/=. Nimepiga leo kuwauliza wakaniomba receipt ya mpesa, wakanambia pesa zangu zitaonekana kwenye akaunti lakini mpaka sasa HOLA. nina wasiwasi hawa Meridian ni WEZI.
Mwingine huyu nae ... mxiuuuuuuuu 🙁🙁
View attachment 348294
Mkuu naomba nitembelee nyota yako leo
Tupia mzgo mapema
Leo nimetoka ivii![]()
Kwa options za michezo mbalimbali MERIDIAN IS THE BEST...kwa kulipa haraka nadhani MkekabetWAKUU NAHITAJI KUJIUNGA NA ONLINE BETTING IPI NI KAMPUNI NZURI NIJIUNGE NAYO USHAURI PLEASE
kila moja ina uzuri na ubaya wake inateemea wewe unahitaji qualification zip !WAKUU NAHITAJI KUJIUNGA NA ONLINE BETTING IPI NI KAMPUNI NZURI NIJIUNGE NAYO USHAURI PLEASE
WAKUU NAHITAJI KUJIUNGA NA ONLINE BETTING IPI NI KAMPUNI NZURI NIJIUNGE NAYO USHAURI PLEASE