Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Tuesday 17.05.2016
********************
FC Kramkachy vs Dinamo Minsk
Tip: GG
Odds: 2.20
 
Tuesday 17.05.2016
********************
Warriors FC vs Tampines Rovers FC
Tip: GG
Odds: 1.50

Xamax vs Lausanne
Tip: GG
Odds: 1.60
 
View attachment 348434

Acha tu tamaa iniponze,buku haliumi katu.

Hahahah ... bora we uliyetupia saiv, mi nimeshakutana na mchawi mmoja ... daaah !!! Yani waSingapore leo wameshindwa kufungana hata goli moja??? bora lkn kaonekana mapema ...

upload_2016-5-17_16-46-57.png

Ngoja nimpukute, niurudie tena ... naangalia tena km kuna mchawi mwingine nimteme kabisa wasije wakaifanya safari yangu fupi wkt ni ndefu mpk Ijumaa.
 
Hahahah ... bora we uliyetupia saiv, mi nimeshakutana na mchawi mmoja ... daaah !!! Yani waSingapore leo wameshindwa kufungana hata goli moja??? bora lkn kaonekana mapema ...

View attachment 348439

Ngoja nimpukute, niurudie tena ... naangalia tena km kuna mchawi mwingine nimteme kabisa wasije wakaifanya safari yangu fupi wkt ni ndefu mpk Ijumaa.
Aiseh!mchawi kajitokeza mapeema,hela ya service inaleta nyodo.
 
For fun, ila ikitiki itanisogeza kweli kweli ... service ya gari imeshakaribia. Ngoja niitafute kwa hii safari ambayo inaishia tar 20 (Ijumaa).

View attachment 348382
all the best mkuu. unawezaje kuplace timu nyingi hivi mkuu? mimi meridian wanani-LIMIT timu 8 tu....nikiweka timu zaidi ya 8 kitufe cha ku-SUBMIT kinajificha. hii ni kampuni gani nihamie huku mkuu? naona meridian wananizingua tu.
 
meridian hiyo mukuu MBNA meridian huwa naeka had timu 30
 
Meridian unaweka mpaka timu 30-40.... Utakuwa umejisetia vibaya
all the best mkuu. unawezaje kuplace timu nyingi hivi mkuu? mimi meridian wanani-LIMIT timu 8 tu....nikiweka timu zaidi ya 8 kitufe cha ku-SUBMIT kinajificha. hii ni kampuni gani nihamie huku mkuu? naona meridian wananizingua tu.
 
Meridian unaweka mpaka timu 30-40.... Utakuwa umejisetia vibaya
mkuu unatumia browser gani? mimi natumia google chrome...labda hii browser ndio inaniletea figisufigisu. hebu tazama jinsi inavyonitesa...sasa hapa nita-SUBMIT namna gani? halafu hiyo herufi B inatoka wapi? isije ikawa naingia chak bila kujijua.

upload_2016-5-17_20-19-7.png
 
nimeingia na mimi katika hii vita ya kumkausha mhindi
 
Attachments

  • Screenshot_2016-05-17-20-08-05.png
    Screenshot_2016-05-17-20-08-05.png
    34 KB · Views: 62
Tumia browser iliyokuja na simu ni rahisi zaidi
halfu mkuu, kila nikitaka kucheck ticket nilizobet naambiwa niingize ticket ID sasa hizi ID ntazipata wapi mkuu?

upload_2016-5-17_20-30-50.png
 
Back
Top Bottom