Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Chief leo hakuna timu nyingi so ile option yangu ya timu nyingi leo naona haina nafasi ... ila kuna mkeka nimeutuma hapa jamvini nasubiri ushauri wa wadau naona hatupeani "airtime" na baadhi ya game karibu zinaanza ... 😀😀😀

Nataka nitoke hivi ...


upload_2016-5-17_11-9-11-png.348354
Huyu aaborg huyu????
Mola tenda miujiza
 
mkuu unatumia browser gani? mimi natumia google chrome...labda hii browser ndio inaniletea figisufigisu. hebu tazama jinsi inavyonitesa...sasa hapa nita-SUBMIT namna gani? halafu hiyo herufi B inatoka wapi? isije ikawa naingia chak bila kujijua.

View attachment 348478
mkuu hapa ulichanganya kati ya promo offer na selection za kawaida
 
Mikeka yote chalii




Daah mm long time, chaliii ... [emoji16][emoji16], yani timu nyingne ukiziaminia zinakuangusha, usipoziaminia zinafanya mambo ... mxiuuuuuuuuuuu, yani hazitabiriki km hedhi ya dem [emoji85][emoji16][emoji16][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom