Neron
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 461
- 360
meridian kutoa hela /withdraw ni mbindee sana , m bet ,mkeka bet wanalipa fastaWAKUU NAHITAJI KUJIUNGA NA ONLINE BETTING IPI NI KAMPUNI NZURI NIJIUNGE NAYO USHAURI PLEASE
meridian kutoa hela /withdraw ni mbindee sana , m bet ,mkeka bet wanalipa fastaWAKUU NAHITAJI KUJIUNGA NA ONLINE BETTING IPI NI KAMPUNI NZURI NIJIUNGE NAYO USHAURI PLEASE
mkuu, kama vile ulikuwepo....tayari wameniwekea fedha kwenye akaunti...sasa ni kumkandamiza mhindi tu kwa kwenda mbele. je, ikiwa nimebet na ku-SUBMIT mkeka naweza kuufanyia masahihisho (ikiwa bado mechi hazijaanza)? nimesubmit mkeka wa kwanza lakini kila nikigonga kwenye betslip ili niweke mkeka wa pili wananiletea ule wa kwanza. nitafanyaje niweke mkeka wa pili ama mpaka nilog oo halafu niingie upya? halafu nitabonyeza wapi nipate timu za wiki nzima? maana naona wananipa timu za siku moja tu. msaada tafadhali, mimi bado mwanafunzi katika mambo haya.Hapana sio wezi, lazima hela yako watakuwekea tu. Mi kuna siku niliwahi kukosea ID yangu (namba ya kumbukumbu ya malipo) wakati nadeposit nikawapigia wakacheck kwnye system na kugundua hiyo ID nliyoiweka ilikuwa ni ya mtu wa nje (one of the Scandinavian countries) lkn walikuja kunirudishia baada ya siku 2. So rest assured hela yako wataiweka tu kwa account yako km umeshawataarifu.
all the best mkuu.Leo nimetoka ivii![]()
Asante mkuu.all the best mkuu.
Mbet - kwa beginnerWAKUU NAHITAJI KUJIUNGA NA ONLINE BETTING IPI NI KAMPUNI NZURI NIJIUNGE NAYO USHAURI PLEASE
Select timu kama kawaida bet slip mpya itatokea,hapo ndio utaweka stake unayoitakamkuu, kama vile ulikuwepo....tayari wameniwekea fedha kwenye akaunti...sasa ni kumkandamiza mhindi tu kwa kwenda mbele. je, ikiwa nimebet na ku-SUBMIT mkeka naweza kuufanyia masahihisho (ikiwa bado mechi hazijaanza)? nimesubmit mkeka wa kwanza lakini kila nikigonga kwenye betslip ili niweke mkeka wa pili wananiletea ule wa kwanza. nitafanyaje niweke mkeka wa pili ama mpaka nilog oo halafu niingie upya? halafu nitabonyeza wapi nipate timu za wiki nzima? maana naona wananipa timu za siku moja tu. msaada tafadhali, mimi bado mwanafunzi katika mambo haya.
Busy aisee una upepo kichizi kuwa unagawanya mkeka Mara mbili boss afu vp leoUzuri wa jero jero mtu unakuwa huna presha ... lkn ningeweka 20K na kuendelea, uchambuzi ungekuwa mwingi mnoo.
Busy aisee una upepo kichizi kuwa unagawanya mkeka Mara mbili boss afu vp leo
Ukifanya ivyo itakuw poa zaidAisee ushauri mzuri sn huu Sunola ... ntakuwa naugawa mara mbili af natupia stake iliyoshiba kdg.
Premier betting online nayo inaonekana ipo safi na wana option kibaoKwa options za michezo mbalimbali MERIDIAN IS THE BEST...kwa kulipa haraka nadhani Mkekabet
siku hiyo uzime simu kabisa ili kupunguza preshaIpo siku nitazipunguza nicheze timu 10 af nitupie jiwe (100K) nimshangaze baniani ... heheheh
asante mkuu.Select timu kama kawaida bet slip mpya itatokea,hapo ndio utaweka stake unayoitaka
Ngoja nikopi na kupesti maana na mm gari yangu spea imekuwa aghari nimebaki naiangalia tu.For fun, ila ikitiki itanisogeza kweli kweli ... service ya gari imeshakaribia. Ngoja niitafute kwa hii safari ambayo inaishia tar 20 (Ijumaa).
View attachment 348382
Premier betting online nayo inaonekana ipo safi na wana option kibao
siku hiyo uzime simu kabisa ili kupunguza presha
kila la kheri mkuu
Ngoja nikopi na kupesti maana na mm gari yangu spea imekuwa aghari nimebaki naiangalia tu.
Hahahaha ... sawa Chief, twende pamoja. Lakini kwa zile ulizo na mashaka nazo sio mbaya ukaedit kidogo tusije angukia pua wote. Teh teh teh